Wadhamini wavipa ahueni vilabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 May 2020
Wadhamini wavipa ahueni vilabu

Kutokana na ukata unaovikabili vilabu vingi wakati huu wa janga la corona, wadhamini wa ligi kampuni ya Vodacom wamevipa ahueni vilabu baada ya kutoa gawio la fedha kwa kila timu Tsh Milioni 23

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Steven Mguto amesema timu zote zimekabidhiwa kiasi cha fedha ambazo ni sehemu ya mkataba walioingia na kampuni hiyo

Timu zimekuwa zikilalamika kuwa na hali ngumu ya kiuchumi iliyosababishwa na kusimama kwa ligi kwa karibu miezi miwili sasa kutokana na janga la corona

Bado kuna hofu ligi itakaporejea vilabu vitamudu vipi gharama kwani mechi zote zitachezwa bila ya mashabiki

Wadau wameishauri TFF na Bodi ya Ligi kuandaa utaratibu ambao utavipunguzia vilabu gharama pale ligi itakaporejea

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’