Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetinga robo fainali ya michuano ya Cosafa inayoendelea nchini Afrika Kusini licha ya kutoka sare ya bao 1-1 na Mauritius.
Stars imemaliza kundi A ikiwa kileleni baada ya kujikusanyia alama tano sawa na Angola lakini Stars imefunga mabao mengi zaidi ya Angola iliyolazimishwa suluhu ya 0-0 na Malawi.
Mauritius ilikuwa ya kwanza kufunga lakini Simon Msuva aliisawazishia Stars na kuirejesha mchezoni dakika moja baadae.
Stars sasa itaivaa Afrika Kusini katika mchezo wa robo fainali utakaopigwa siku ya Jumapili.

ADVERTISE HERE