Si vibaya wachezaji wengine wakatolewa kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2017
Si vibaya wachezaji wengine wakatolewa kwa mkopo
Msimu uliopita uongozi wa Yanga haukutoa mchezaji yeyote kwa mkopo pengine ni kutokana na kuondoka kwa idadi kubwa ya wachezaji.

Ilikuwa ni muhimu kuwapa nafasi wachezaji wote ili kufahamu wale ambao watahitajika zaidi kwenye kikosi cha kwanza.

Lakini sasa ni dhahiri Yanga tayari imeshafahamu wachezaji inayowahitaji kwa sasa na si vibaya wengine ikawatoa kwa mkopo ili wakapate nafasi kwengine kulinda vipaji vyao.

Yanga imesheheni vijana wenye vipaji na bila shaka itawahitaji baadae lakini kukaa tu benchi kunaathiri uwezo wao.

Wachezaji kama Baruani Akilimali, Said Mussa, Maka Edward, Juma Mahadhi na Abdallah Shaibu 'Ninja' ni wachezaji wenye vipaji na wanaweza kupata namba kwenye timu nyingine zinazoshiriki VPL.

Na kwa kuwa umri wao bado mdogo sio vyema kuwauza, Yanga iendelee kuwalea na ikiwezekana baadhi yao watafutiwe nafasi ya kucheza timu nyingine kwa mkopo ili waimarishe viwango vyao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’