Bodi ya ligi yaziadhibu Yanga, Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2017
Bodi ya ligi yaziadhibu Yanga, Simba
Bodi ya Ligi imeziadhibu klabu za Simba na Yanga kutokana na kila moja kubainika kutenda kosa tofauti tofauti.

Klabu ya Simba imepigwa faini ya Shilingi 300,000 kwa kosa la kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji kama inavyoelekeza kanuni kwamba yalitakiwa kwenye vikao vyao vya awali.

Yanga imepigwa faini ya Sh500,000 kwa kosa la mashabiki wao kurusha chupa uwanjani wakati wa mechi yao na Simba, adhabu hiyo imetolewa kwa mujibu kanuni ya 42.

Simba na Yanga zilikutana kwenye mchezo wa ligi kuu Oktoba 28 na kutoka sare ya bao 1-1 mchezo ukipigwa katika dimba la Uhuru
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’