Sibomana bado ni silaha muhimu sana Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2020
Sibomana bado ni silaha muhimu sana Yanga

Patrick Sibomana ni miongoni mwa wachezaji ambao wamekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Yanga msimu huu

Akiwa amehusika moja kwa moja kufunga mabao matano kwenye ligi, 'PS' ametoa pasi tatu za mabao lakini pia ana mabao mawili kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Pamoja na kuwa na wakati mgumu kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha Luc Eymael, lakini hilo haliondoi ukweli kuwa PS bado anao uwezo wa kuisaidia Yanga

Nyota wapya ambao watasajiliwa Yanga wataifanya timu iwe imara, lakini uwepo wa wachezaji kama Sibomana, utaifanya Yanga iwe imara zaidi

Sibomana alitua Yanga akisaini mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Mukura Victory, bila shaka Yanga itampa nafasi ya kumaliza mkataba wake licha ya uwepo wa tetesi kuwa anaweza kuwa miongoni mwa wachezaji wa kigeni ambao watapunguzwa ili kupisha usajili mpya

Β 

Β 

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’