Wizara yajipanga kurejesha soka kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2020
Wizara yajipanga kurejesha soka kwanza

Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk Harrison Mwakyembe amesema watafungua ligi za soka tu zilizokuwa zikiendelea, michezo mingine itasubiri

Dk Mwakyembe amebainisha kuwa wanahitaji kuandaa utaratibu mzri kuwezesha michezo mingine iweze kurejea

"Sisi tumekubaliana na wataalamu wetu kwamba tufungulie ligi zilizokuwa zinaendelea za soka tu, michezo mingine isubiri kidogo ili tunavyoendelea vizuri katika kumalizia viporo vya hizi ligi tutajua namna ya kufungulia michezo mingine, " amesema Dk Mwakyembe

Aidha, Waziri Mwakyembe amesema wanasubiri utaratibu kutoka kwa chombo cha kitaifa kinachoratibu masuala yote ya ugonjwa wa corona kilicho chini ya usimamizi wa Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’