Happy BirthDay Bernard Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2020
Happy BirthDay Bernard Morrison

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison

Nyota huyo aliyetua Yanga mwezi January akitokea klabu ya DC Motema Pembe ya DR Congo, tayari amejitengenezea ufalme Jangwani kutokana na umahiri wake

March 08 ni siku ambayo itaendelea kubaki kwenye kumbukumbu za mashabiki wa Yanga kwani ni siku hiyo aliwaziba midomo watani zao Simba kwa kufunga bao pekee lililoihakikisha Yanga ushindi hivyo kuibuka wababe wa mitanange ya dabi msimu huu

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY BM33..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’