Yanga kuanza na kikao, vipimo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2020
Yanga kuanza na kikao, vipimo

Baada ya kusubiri kwa zaidi ya miezi miwili, hatimaye mashabiki wa soka wanakaribia kuwashuhudia nyota wa timu zao wakirejea dimbani kumalizia msimu

Timu tayari zimeruhusiwa kuanza maandalizi ya pamoja ambapo leo mabingwa wa kihistoria Yanga wanaanza na zoezi la kupima Afya

Aidha mabosi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla akiwa na wadhamini GSM, watakuwa na kikao maalum na wachezaji kujadili mkakati wa kumaliza msimu 'kibabe'

Mabingwa hao wa kihistoria wanasubiri mwongozo wa Serikali kuhusu utaratibu na tahadhari ambayo wanapaswa kuchukua pale watakapoanza rasmi mazoezi

Pengine wiki ijayo mikikimikiki ya Ligi Kuu huenda ikarejea, Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani mapema kumaliza viporo ili kwenda sambamba na timu nyingine ambazo zimecheza mechi 28, 29 na 30 huku Yanga ikiwa imeshuka dimbani mara 27

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’