Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Deus Kaseke
Kaseke ni moja wa wachezaji waandamizi katika kikosi cha Yanga akiwa kwenye timu tangu mwaka 2015 pamoja na kuwa aliondoka msimu mmoja kuitumikia Singida United na kisha kurejea Jangwani msimu uliofuata
Bado ni mchezaji ambaye anaweza kuwa na mchango mkubwa licha ya kuwa msimu huu hasa tangu kuwasili kwa kocha Luc Eymael amekuwa hana nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa kihistoria
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happy BirthDay Deus Kaseke..!
ADVERTISE HERE