Ngoma alimwa barua na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2017
Ngoma alimwa barua na Yanga
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa amesema mshambuliaji Donald Ngoma raia wa Zimbabwe ameandikiwa barua ya kumtaka ajieleze kwa nini asichukuliwa hatua za kinidhamu kutokana na utovu wa nidhamu.

Ngoma bado yuko kwao Zimbawe wiki ya tatu sasa na Mkwassa amesema hakuupa taarifa yoyote uongozi wa Yanga kuhusu safari yake.

Taarifa za ndani zimebainisha kuwa Ngoma alipewa ruhusu ya siku kadhaa na kocha Mkuu George Lwandamina kwenda kukamilisha matibabu yake sambamba na kushughulikia matatizo ya kifamilia.

Hata hivyo mchezaji huyo anadaiwa kuondoka 'kimyakimya' bila kuutaarifu uongozi.

Ngoma alisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikai Yanga mwezi Julai na amefunga mabao mawili msimu huu kabla hajapata majeruhi yaliyomuweka nje mpaka sasa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’