Ile shughuli ya 'kusinya' mkataba sasa ni Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2020
Ile shughuli ya 'kusinya' mkataba sasa ni Jumapili

Ile hafla ya kusainiwa mkataba wa ufunguzi wa mchakato mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga na kampuni ya La Liga, itafanyika siku ya Jumapili

Hafla hiyo ya kihistoria itafanyika palepale Serena Hotel, lakini muda utakuwa saa moja usiku

Azam TV watakuwa mbashara kurusha tukio hilo ambalo pia litakuwa 'live' kupitia kurasa rasmi ya Yanga mtandao wa Youtube

GSM kwa kushirikiana na viongozi wa Yanga wanaendelea kuweka mambo sawa kuelekea siku hiyo ambayo itabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu vya klabu ya Yanga milele

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’