Nyota wa Yanga wanatinga mazoezini leo wakiwa na furaha baada ya uongozi wa timu hiyo kusaini mkataba wa ushirikiano na La Liga ambao unakwenda kuishuhudia Yanga ikibadili mfumo wake wa uendeshaji na kuimarika zaidi kiuchumi
Furaha zaidi ni pale wanaposikia kuwa mabingwa hao wa kihistoria watakuwa na ushirikiano wa moja kwa moja na klabu ya Sevilla ambayo inashiriki ligi kuu ya Hispania, La Liga
Kwani kupitia ushirikiano huo wanafahamu, fursa kedekede ziko mikononi mwao
Mkataba uliosainiwa jana, umeongeza hamasa kwa wachezaji na kwa hakika, wale wanaokutana na Yanga katika michezo iliyobaki, wajiandae kisaikolojia...!
ADVERTISE HERE