Yanga yaboresha kitengo cha kupiga picha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2020
Yanga yaboresha kitengo cha kupiga picha

Kwa wiki za karibuni kitengo cha Habari Yanga kimetupiwa lawama kuwa picha wanazopiga katika matukio mbalimbali hazina ubora

Uongozi wa Yanga umefanyia kazi changamoto hiyo kwani kuanzia jana picha zinazopigwa zinaonekana kuwa katika viwango bora

Hassan Bumbuli, Antonio Nugaz pamoja na timu yao, wanastahili pongezi kwa kufanyia kazi malalamiko ya Wanayanga

Pichani ni Matukio mbalimbali ya mazoezi ya kikosi cha Yanga leo ambapo beki kisiki Lamine Moro, na Bernard Morrison wamejifua kikamilifu

Nyota hao pamoja na nahodha Papy Tshishimbi walitajwa kupata majeraha madogo. Ni Tshishimbi pekee aliyekosekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’