Ule mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumapili June 07 kwenye uwanja wa Uhuru, utarushwa mbashara na Azam Sport 2
Mchezo huo utakuwa maalum kuvipima vikosi vya timu zote kabla ya kurejea kwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom June 13
Ikumbukwe Yanga itaanzia ugenini Juni 13, ikisafiri mkoani Shinyanga kuifuata Mwadui Fc
ADVERTISE HERE