Ripoti ya daktari kuwakaanga nyota Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jun 2020
Ripoti ya daktari kuwakaanga nyota Yanga

Wiki iliyopita kabla ya wachezaji wa Yanga kuanza mazoezi, walichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya ikiwa ni pamoja na uongonjwa wa corona

Uongozi wa Yanga umefichua kuwa wachezaji walichukuliwa vipimo maalum ambavyo vitaweza kubainisha kama walikuwa wakifanya mazoezi ipasavyo kulingana na maelekezo waliyokuwa wakipewa na kocha Luc Eymael

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema watakapokabidhiwa ripoti ya daktari, wanaweza kuwachukulia hatua za kinidhamu wachezaji ambao hawakuwa walifuata maelekezo

Bumbuli amesema ripoti itakabidhiwa kwa benchi la ufundi pale itakapokuwa imekamilika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’