Yanga yaingiza watatu kikosi cha Stars kinachoivaa Benin

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2017
Yanga yaingiza watatu kikosi cha Stars kinachoivaa Benin
Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko ugenini kuchuana na Benin kwenye mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya FIFA.

Katika kikosi cha Stars kinachoanza, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Raphael Daudi wamepata nafasi ya kuanza.

Kikosi kamili
1. Aishi Manula
2. Himid Mao
3. Gadiel Michael
4. Abdi Banda
5. Kelvin Yondani
6. Hamis Abdallah
7. Simon Msuva
8. Mudathir Yahya
9. Elius Maguri
10. Raphael Daudi
11. Shizza Kichuya

Akiba
1. Manyika JR
2 Maganga Boniphace
3. Ibrahim Ajibu
4.Nurdini Chona
5. Jonas Mkude
6. Mohamed Issa
7. Mbaraka Yussuph
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’