Kambi inawahusu wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2020
Kambi inawahusu wachezaji Yanga

Kipigo cha mabao 3-0 walichopokea Yanga kutoka kwa KMC kimeshtua wengi, kuna ulazima wa wachezaji kuingia kambini kujifua sawasawa wiki moja iliyobaki kabla ya kuanza ligi

Yanga ilianza vizuri michezo yake miwili ya kwanza ya kirafiki wakifanikiwa kushinda yote walipocheza na timu za Transit Camp na Dar City

Lakini mchezo wa leo nyota hao walicheza chini ya kiwango

Kuna ulazima kwa wachezaji hao kuwekwa kambini kutumia vyema siku zilizobaki kujiimarisha

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’