Thabani Kamusoko pamoja na majeme mengine yanayoonekana kwenye picha hapo juu bado yana mikataba na klabu ya Yanga.
Kwa maana nyingine wachezaji hao wanamilikiwa na Yanga, mikataba yao iko hai.
Bila shaka wale wanaowanyemelea wameupata ujumbe huu wa 'kistaarabu'

ADVERTISE HERE