Eymael kutua mchana wa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2020
Eymael kutua mchana wa leo

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael, atakuwa nchini mchana wa leo kuendelea na majukumu yake kunako kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria

Eymael aliondoka jana nchini Ubelgiji, akipitia Ujerumani, Ethiopia ambako ndiko alikopatia usafiri wa kuja Tanzania

Mbelgiji huyo anarejea na mkewe aliyefunga nae ndoa mwezi March mwaka huu

Eymael anatarajiwa kuungana na kikosi cha Yanga mkoani Shinyanga baada ya kutua nchini

Yanga imeondoka Alfajiri ya leo Jumatano, kuelekea Shinyanga tayari kwa mchezo dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumamosi, Juni 13 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’