Molinga atangaza 'kusepa' August

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2020
Molinga atangaza 'kusepa' August

Mshambuliaji wa Yanga David Molinga amesisitiza kuwa hakugoma kwenda Shinyanga kama ilivyoelezwa bali hakuwa miongoni mwa wachezaji waliotajwa na kocha msaidizi Charles Mkwasa kuwemo katika safari hiyo

Yanga imeondoka Alfajiri ya leo kwenda Shinyanga ambako siku ya Jumamosi inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc

Mcongoman huo ameeleza kutofurahishwa na tuhuma nyingi anazoendelea kusukumiwa akiahidi ataondoka baada ya mkataba wake kumaliza

Mkataba wa Mcongomani huyo na Yanga unamalizika mwezi August mwaka huu

"Molinga atapita Yanga itabaki, hakuna haja ya kuchafuliana majina, tusubiri miezi miwili iishe ili tumalizane, kila mtu atapita tu Yanga," amesema Molinga

Mcongomani huyo ndiye kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga msimu huu akiwa amefunga mabao tisa, nane kwenye ligi na moja kwenye michuano ya kombe la FA (ASFC)

Jina la Molinga limo kwenye orodha ya mwisho iliyotolewa na Yanga, kikosi kilichopaswa kusafiri kwenda Shinyanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’