Manyika amtabiria Kabwili mambo makubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2020
Manyika amtabiria Kabwili mambo makubwa

Mkufunzi wa makipa klabu ya Yanga Peter Manyika amesema mlinda lango Ramadhani Kabwili, ni mchezaji mwenye kipaji na anaamini wakati wake utafika

Kabwili alitua Yanga mwaka 2017 akitokea timu ya Taifa ya viajana wakati huo akiwa na umri wa miaka 16 tu

Katika umri mdogo, tayari amepata nafasi ya kushiriki mechi zenye ushindani ikiwemo ligi ya mabingwa barani Afrika na mchezo wa watani wa jadi

Manyika amesema wakati wa Kabwili utafika na anaamini atakuwa na mchango mkubwa kwa Yanga na timu ya Taifa

"Kabwili ni golikipa mzuri sana, ni golikipa ambaye atakuja kuchukua nafasi za magolikipa wa sasa wa timu ya taifa, ndio maana kila linapokuja suala la kumtoa Kabwili kikosini huwa nakataa. Mimi ni mkufunzi wa magolikipa najua ubora wao," amesema Manyika

Kabwili ana mkataba na kkabu ya Yanga hadi mwaka 2021

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’