Jioni ya leo kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Fresho mkoani Shinyanga kujiandaa na mchezo dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa keshokutwa
Hayo ni mazoezi ya kwanza kwa Yanga ambayo iliwasili mkoani Shinyanga mapema leo



ADVERTISE HERE