Ngoma amaliza mkataba Azam FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2020
Ngoma amaliza mkataba Azam FC

Uongozi wa klabu ya Azam jana ulitangaza kuachana na mshambuliaji Donald Ngoma ambaye amemaliza mkataba na timu hiyo

Ngoma aliyepata sana mafanikio wakati yuko Yanga, alishindwa kutamba kunako klabu hiyo ambayo ilimsajili mda mfupi baada ya kuvunja mkataba wake na Yanga

Ngoma ameitumikia Azam Fc kwa misimu miwili, katika mechi 42 alizocheza, alifunga mabao 16 na kutoa pasi nne za mabao

Ngoma ni mmoja wa wachezaji ambao walikuwa na heshima kubwa Yanga lakini majeraha yalipelekea nyota huyo kulazimika kuondoka kabla ya Azam Fc iliyokuwa ikinolewa na Hans van Pluijm kumchukua

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’