Lamine Hatihati mechi ya JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2020
Lamine Hatihati mechi ya JKT Tanzania

Beki kisiki wa Yanga Lamine Moro jana alishindwa kufanya mazoezi kutokana na maumivu ya kidole

Akizungumza baada ya mazoezi jana jioni, kocha mkuu wa mabingwa hao wa kihistoria, Luc Eymael, alisema Lamine alishindwa kujifua na wenzake kutokana na maumivu

"Lamine amepata maumivu kidogo, tunaweza kumkosa lakini Feisal amepona, anaweza kurejea kikosini," alisema

Eymael alisema kikosi chake kiko tayari kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na wakazi wa mkoa wa Dodoma ambao hawajaishuhudia timu yao kwa zaidi ya miaka minne

Aidha, Eymael alieleza kutofurahishwa hali ya uwanja wa Jamhuri

"Mazingira ya uwanja ni changamoto, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kutufanya tusipate matokeo"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
20m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’