Waarabu wajipanga kumn'goa Morrison Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2020
Waarabu wajipanga kumn'goa Morrison Yanga

Inaelezwa klabu moja kutoka huko Arabuni inajipanga kuleta ofa Jangwani baada ya kuvutiwa na uwezo wa winga Bernard Morrison

Klabu hiyo inayomilikiwa na matajiri wa mafuta, imeandaa kitita cha zaidi ya Tsh Milioni 900 kwa ajili ya kumnasa nyota huyo

Aidha, kulingana na Magic FM Radio, Morrison ameandaliwa mshahara wa Tsh Milioni 17 kwa mwezi

Kama waarabu hao watamwaga 'mpunga' huo, unaweza kutosha kusajili nyota wengine watatu wenye uwezo wa juu ambao thamani yao haizidi Tsh Milioni 300 kila mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
40m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’