Klabu ya Sevilla inayoshiriki ligi kuu ya Hispania, La Liga leo imetumia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kuweka hadharani kuwa watahusika moja kwa moja katika mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na La Liga
Sevilla ndio klabu ambayo itatumika kama 'platform' ya Yanga kujifunza na kupata uzoefu wa mambo kadhaa katika mchakato huo ambao utakamilika baada ya miaka na nusu
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Sevilla wameweka bandiko hili;

ADVERTISE HERE