Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali amesema atagombea nafasi ya uenyekiti wa klabu ya hiyo iliyoachwa wazi hivi karibuni na Manji.
Mzee Akilimali anafahamika toka zamani kutokubaliana na uongozi wa Manji na hata kujiuzulu kwa Manji mara ya kwanza kulihusishwa na chokochoko za Mzee Akilimali.
Mzee Akilimali anasema licha ya kutokuwa na fedha kama Manji lakini ana weledi, hekima na busara vitakavyomuwezesha kuingoza Yanga kwa mafanikio.
Wakati uongozi wa Yanga ukiendelea kumbembeleza Manji arejee kwenye nafasi yake, nadhani ni wakati muafaka kwa uongozi huo kumpatia timu Mzee Akilimali kwani ameonyesha nia ya kuitaka nafasi hiyo na kwa kuwa anasema ataweza, wampe sasa kipindi hiki cha usajili....!

ADVERTISE HERE