Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) michezo miwili kila mmoja pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si vya kiungwana.
Adhabu hiyo inaanza mara moja kuanzia leo
Morrison amekumbana na adhabu hiyo baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons wakati kiungo wa Simba Jonas Mkude yeye alifanya hivyo kwa mchezaji wa Biashara United
ADVERTISE HERE