Kiungo fundi wa Yanga Mapinduzi Balama anatarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa baada ya kuumia mazoezini
Balama amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Yanga, kukosekana kwake kunaweza kuwa pigo kwa mabingwa hao wa kihistoria wakiwa bado wanaendelea kumkosa nahodha wao Papy Tshishimbi
Taarifa za awali zimebainisha kuwa Balama atakuwa nje kwa wiki tatu au zaidi
Wachezaji wa Yanga kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, wamempa pole pamoja na kumtakia kheri Balama aweze kupona haraka
Get Well soon Balama..!
ADVERTISE HERE