TFF yasikiliza kesi ya Morrison, Yanga, Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2020
TFF yasikiliza kesi ya Morrison, Yanga, Simba

Jana Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilianza kusikiliza kesi iliyofunguliwa na klabu ya Yanga dhidi ya Simba kumuhusu mchezaji Bernard Morrison

Yanga imeituhumu Simba kumshawishi Morrison ajiunge nao wakati akiwa na mkataba na klabu ya Yanga

Aidha kwa upande wa Morrison naye amewasilisha malalamiko TFF akikana kusaini mkataba mpya na klabu ya Yanga

Morrison alifika TFF majira ya asubuhi na kuhojiwa kwa masaa kadhaa

Yanga iliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wake Fredrick Mwakalebela na Mwanasheria wa klabu ambaye pia ni Kaimu Katibu Mkuu Simon Patrick

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
53m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’