Nyota Yanga wavuna Mil 36 ushindi wa Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2020
Nyota Yanga wavuna Mil 36 ushindi wa Kagera Sugar

Wadhamini wa Yanga, GSM wametoa kitita cha Tsh Milioni 30 kwa wachezaji wa Yanga baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Aidha, Kamati ya Mashindano ya Yanga nayo ikaongeza Tsh Milioni sita ikiwa ni ahadi waliyotoa kwa wachezaji kabla ya mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa juzi

Nyota hao wangeweza kuvuna fedha zaidi kama wangeibuka na ushindi wa kuanzia mabao matatu au zaidi

Habari njema kwa wachezaji wa Yanga ni kuwa watavuna fedha nyingi kama wataibuka na ushindi kwenye mchezo ujao dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa Julai 12

Yanga na Simba zinakutana hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho, ukiwa mchezo wa tatu baina ya timu hizo msimu huu

Katika mchezo wa ligi ambao ulipigwa March 08, Yanga ilibuka na ushindi wa bao 1-0 na kuvuna kitita cha Tsh Milioni 200

Inaelezwa dau kubwa zaidi limeandaliwa katika mchezo huo ambao Yanga inahitaji ushindi kwa gharama yoyote ili iweze kutinga fanali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’