Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi anatarajiwa kuwa tayari kuikabili Simba kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la FA ambao utapigwa Julai 12 katika uwanja wa Taifa
Tshishimbi alipewa mapumziko ili kupona kabisa majeraha aliyopata wakati wa maandalizi kabla ya ligi kurejea kutoka kwenye mapumziko ya corona
Mcongomani huyo amekosa mechi zote tano ambazo Yanga imecheza, lakini sasa ni uhakika Julai 12 atakuwepo
ADVERTISE HERE