Eymael ampa tano Molinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2020
Eymael ampa tano Molinga

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael ameeleza kuvutiwa na kiwango cha mshambuliaji wake David Molinga 'Falcao' ambaye tangu ligi kurejea baada ya corona yuko 'on-fire' licha ya kuandamwa kuwa ameongezeka uzito

Eymael amefichua kuwa kwa sasa anamtegeme zaidi Molinga kwani ndiye anayefanya vizuri miongoni mwa washambuliaji wa kikosi chake

"Molinga kwa muda aliocheza amefanya vizuri kwangu na amenivutia ndio maana mpaka sasa bado yupo kwenye timu na amekuwa akitumika,"  amesema

"Washambuliaji wengine bado hawajaweza kunishawishi niwape nafasi ya mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza"

Tangu ligi kurejea baada ya mapumziko ya corona, Molinga ameweka kambani mabao matatu huku mchango wake ukionekana kwenye mechi zote ambazo alipewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza

Anapewa nafasi kubwa ya kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Julai 12 kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’