Kikosi cha Yanga jioni ya leo Jumamosi kilifanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Karume, Musoma
Mabingwa hao wa kihistoria leo walipata nafasi ya kujifua katika uwanja huo ambao kocha Luc Eymael hakufurahishwa na eneo lake la kuchezea 'pitch'
Yanga itashuka uwanjani kesho ikiwa na lengo moja tu, kuondoka na alama zote tatu ili kuhakikisha inaendelea kujihakikishia kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom


ADVERTISE HERE