Winga Bernard Morrison amefichua kuwa alimuahidi Mama yake mzazi kuwa leo atafunga bao kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar ikiwa ni zawadi kwa mzazi wake huyo ambaye leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Morrison aliifungia Yanga bao pekee la ushindi kwenye dakika ya 79 na kuihakikishia Yanga kuondoka na alama zote tatu huko Bukoba
Happy Birthday Mama...!

ADVERTISE HERE