Huyu Erick Kabamba apewe muda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2020
Huyu Erick Kabamba apewe muda Yanga

Erick Kabamba ni mmoja wa wachezaji waliopo kwenye kikosi cha Yanga ambao wana vipaji vya hali ya juu

Kabamba raia wa Zambia, alisajiliwa na Yanga mwezi Januari usajili wa dirisha dogo,amekuwa haonekani mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza kutokana na changamoto za hapa na pale likiwemo suala la majeruhi

Jana alipata dakika 45 kuanza katika kikosi cha kwanza kilichoikabili Kagera Sugar na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Mzambia huyo mahiri wa kutumia mguu wa kushoto, alifanya vizuri kwa muda mchache aliokuwa uwanjani

Ni mchezaji anayeonyesha kuwa na vitu vingi mguuni, pengine hajapata nafasi ya kutosha kuweka uwezo wake hadharani

Ni bahati mbaya mashabiki wa soka nchini hupendelea wachezaji wanapofika katika timu waanze kufanya vizuri moja kwa moja, lakini kwa hakika huyu Kabamba ni mchezaji mzuri ambaye kama anaweza kupewa muda zaidi atawashangaza wengi

Katika kila mechi aliyopewa nafasi, Kabamba ameonyesha kuwa na kitu katika mguu wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’