Baada ya ushindi dhidi ya Kagera Sugar hapo jana, kikosi cha Yanga kimeendelea kusalia Bukoba kikiendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumapili, Julai 12 katika uwanja wa Taifa, mishale ya saa 11 jioni
Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga, ushindi utawapeleka fainali na kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda taji la FA


ADVERTISE HERE