Eymael 'amfungia vioo' Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2020
Eymael 'amfungia vioo' Morrison

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amemgomea winga Bernard Morrison kuripoti mazoezini kufuatia tukio alilofanya juzi kwenye mchezo dhidi ya Simba

Yanga ilirejea mazoezini jana kujiandaa na mchezo dhidi ya Singida United ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Taifa

Morrison hakuonekana mazoezini jana lakini mapema leo Eymael amethibitisha kuwa alimpigia simu akimuomba aripoti kwenye mazoezi ya leo

"Ni kweli Morrison alinipigia simu akiombe aje mazoezini lakini nimemkatalia kwa kuwa suala lake linajadiliwa na uongozi wa Yanga. Binafsi siwezi kufanya maamuzi yoyote juu yake mpaka pale viongozi watakapozungumza," alisema Eymael katika mazoezi ya Yanga kujiandaa na mchezo dhidi ya Singida Uinted

Aidha, uongozi wa Yanga kupitia Kaimu Katibu Mkuu Simon Patrick umewataka Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kwani viongozi wanafahamu ni hatua gani watamchukulia winga huyo mtukutu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
40m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’