Uchapishaji wa kalenda ya mwaka 2018 iliyopambwa na klabu ya Yanga umekamilika! Kalenda hizi zitapatikana kila mahali hata kwa wale wa mikoani msiwe na wasiwasi.
Afasi Habari wa Yanga Dismas Ten amesema unaandaliwa utaratibu ambao utawezesha kalenda hizo kupatikana kwa urahisi.

Viongozi wa Yanga wanastahili pongezi kwa ubunifu huu.
Njia pekee ya kufikia mafanikio endelevu ni klabu kuweza kujitegemea kwa kuwa na vyanzo vyake vya mapato.

ADVERTISE HERE