Azam Fc yapata sare Iringa, Yanga yabaki nafasi ya pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2020
Azam Fc yapata sare Iringa, Yanga yabaki nafasi ya pili

Hesabu za kumaliza katika nafasi ya pill zimeendelea kubaki mikononi kwa Yanga baada ya Azam Fc kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Lipuli Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Samora leo

Azam Fc ingeweza kurejea katika nafasi ya pili kama ingshinda mchezo huo waliotangulia kupata bao la kuongoza

Wauza Ice cream hao wamebaki nafasi ya tatu wakiwa na alama 66 wakati Yanga ikisalia nafasi ya pili na alama 68

Yanga sasa inatakiwa kupambana kuhakikisha inashinda mechi zake mbili dhidi ya Mtibwa Sugar na Lipuli ambazo zote zitapigwa ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’