Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumatano Julai 22 kwenye uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro
Yanga imesalia na michezo miwili kumaliza msimu wakianza na huo wa Mtibwa Sugar kisha kuelekea Iringa kumalizana na Lipuli Fc Julai 26
Wiki ijayo Yanga itafunga hesabu za msimu huu kisha kuanza maandalizi ya msimu ujao, mabingwa hao wa kihistoria wakianza na usajili

ADVERTISE HERE