Yanga wako mkoani Morogoro tangu jana wakijiwinda na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Jamhuri
Mabingwa hao wa kihistoria leo watafanya mazoezi yao ya mwisho Jamhuri tayari kwa mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu
Mabingwa hao wa kihistoria wanakamilisha maandalizi yao chini ya kocha mkuu Luc Eymael ambaye atasimamia mechi zilizobaki peke yake bila ya wasaidizi wake Charles Mkwasa (kocha msaidizi) na Peter Manyika (kocha wa makipa) ambao wamebaki jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE