Nyota Yanga wapewa wiki mbili za mapumziko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2020
Nyota Yanga wapewa wiki mbili za mapumziko

Uongozi wa klabu ya Yanga umewapa wachezaji mapumziko ya wiki mbili kabla ya kurejea kuanza maandalizi ya msimu ujao

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema wamejipanga kuanza mapema maandalizi ya msimu mpya

Aidha kuhusu suala la usajili, Patrick amesema tayari wamekamilisha michakato ya usajili kwa asilimia 90

Kuanzia August 01 wachezaji wa kigeni waliosajiliwa wataanza kuwasili nchini

Yanga imeanza maandalizi ya tukio kubwa la Wiki ya Mwananchi ambalo huenda likafanyika mwishoni mwa mwezi wa nane

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
53m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’