Uongozi wa klabu ya Yanga unaendelea na maandalizi ya tukio la wiki ya Mwananchi ambalo linatarajiwa kufanyika mwezi ujao
Katika kuongeza ushiriki wa wadau, uongozi umepanga kukutana na viongozi wa Matawi pamoja na makundi ya WhatsApp lengo likiwa kujadili jinsi makundi hayo yanaweza kushirikishwa
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani siku ya Jumamosi, August 01 2020

ADVERTISE HERE