Makocha 62 waomba kazi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2020
Makocha 62 waomba kazi Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa wamepokea maombi 62 ya nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo kurithi mikoba ya Luc Eymael aliyetimuliwa

Kaimu Katibu Mkuu wa mabingwa hao wa kihistoria Simon Patrick amesema watajipa muda wa kuyapitia maombi yote ili kuhakikisha wanafanya uamuzi sahihi kwa kuteua kocha atakayekuwa anafaa

"Hadi jana nimepokea maombi 62 ya makocha, lakini hatutakuwa na mihemko tutakuwa makini kutafuta kocha ambaye ataisaidia Yanga kwa ukubwa Timu yetu, na Ikumbukwe tunaenda kwenye mabadiliko, mwezi Ujao tunakamilisha stage ya kwanza na kuipeleka kwa Wanayanga ili wairidhie," amesema

Hata hivyo kutokana na ufinyu wa muda, Yanga italazimika kukamilisha mchakato huo haraka ili kumpa kocha mpya muda wa kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao na hata michuano ya ligi ya mabingwa kama Yanga itapata tiketi hiyo, hatma yake ikisubiriwa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’