Kiungo wa Yanga Feisal Salum, Fei Toto amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa SportPesa msimu wa 2019-20 kutoka kikosi cha Yanga
Fei Toto alishinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki




Kiungo huyo fundi pia amekabidhiwa kitita cha Tsh Milioni Moja na wadhamini hao wa klabu ya Yanga
ADVERTISE HERE