Mapema leo, winga wa Yanga Bernard Morrison alitiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya maafisa wa Jeshi hilo kulitilia shaka gari lake
Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Rodgers Bukombe amesema Morrison alikamatwa leo mchana baada ya kupishana maneno ya maafisa wa jeshi la Polisi waliokuwa wamelitilia shaka gari lake
Nyota huyo alikaidi amri ya kumtaka asimamishe gari na hivyo kukamatwa
Morrison alifikishwa kituo cha Polisi Kinondoni ambako alitoa maelezo na baadae kuachiwa huru
ADVERTISE HERE