Uongozi wa klabu ya Yanga umekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Zawadi Mauya kutoka klabu ya Kagera Sugar
Mauya amemwaga wino wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria
Amesaini mbele ya Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Mhandisi Hersi Saidi
Karibu Jangwani Mauya..
ADVERTISE HERE