Nyota watano wa klabu ya Yanga wamejumuishwa katika orodha ya awali ya wachezaji 30 ambao wanawania tuzo ya mchezaji bora wa VPL kwa msimu wa 2019/20
Wachezaji hao ni Mapinduzi Balama, feisal Salum, Deus Kaseke, David Molinga na Juma Abdul

ADVERTISE HERE