Coastal Union wamshukuru, wamuaga Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2020
Coastal Union wamshukuru, wamuaga Mwamnyeto

Uongozi wa klabu ya Coastal Union umemuaga nahodha wao Bakari Nondo Mwamnyeto wakimtakia kila la kheri katika maisha yake ya soka kunako klabu yake mpya

"Tunakutakia safari njema katika maisha yako ya soka nahodha wetu Bakari Nondo Mwamnyeto umekuwa mfano mzuri kwa wenzako nao watajifunza kutoka kwako Mungu akutangulie," ilisema taarifa ya Coastal Union

Tetesi za usajili kumuhusu Mwamnyeto zilikuwa nyingi tangu wakati wa usajili wa dirisha dogo

Inaelezwa shughuli yake huyu ilikamilishwa hapo jana

Ukiangalia katika posti hiyo ya Coastal Union, miongoni mwa watu ambao wako kwenye 'TAG' ili ujumbe huo uwafikie ni Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’